Sehemu ya Burudani
Vunja Moyo
Mwokozi ametufundisha kwamba tunapaswa kuwa na “moyo uliovunjika,” ambayo inamaanisha kuwa wanyenyekevu, wenye kutubu, na wapole (3 Nefi 9:19; Mwongozo wa Maandiko, “Moyo Uliovunjika,” Maktaba ya Injili). Unaweza kuvunja ishara ya moyo huu katika vipande saba kwa kuchora mistari wima mitatu tu? (Kuna zaidi ya jibu moja sahihi.)
Vitu Vilivyofichwa
Mwokozi yu karibu kutembelea nchi ya Wanefi. Lakini sasa hivi, kuna uharibifu mwingi sana. Je, unaweza kuvipata vitu vyote vilivyofichwa kwenye magofu hayo? (Ona 3 Nefi 8–11 kwa ajili ya hadithi hiyo!)
Nani Amemaliza wa Kwanza?
Jill, Scott, Tory, na Jonathon wote wanasoma Kitabu cha Mormoni mwaka huu? Nani amemalizawa kwanza? Nyongeza: Kama walianza kusoma Januari 1, lini kila mmoja alikuwa amemaliza?
Dokezo: Kuna milango au sura 239 katika Kitabu cha Mormoni.
-
Jill: Alisoma mlango wa 1 Jumatatu, Jumatano, Ijumaa, na Jumamosi, na mlango 1.5 siku nyingine za wiki.
-
Scott: Alisoma milango 7 kila Jumapili na mlango 1 kila Jumatano .
-
Tory: Alibadilisha kati ya kusoma milango 5 wiki moja na milango 10 wiki iliyofuata (mara zote Jumamosi).
-
Jonathon: Alisoma yote Nefi wa Kwanza na wa Pili ndani ya Januari, kisha akasoma mlango 1 baada ya hapo kila siku.
Vichekesho
Majibu
Nani Alimaliza wa Kwanza?: Jill alikuwa wa kwanza kumaliza kusoma.
Bonasi:
-
Jill: Julai 15
-
Scott: Agosti 11
-
Tory: Agosti 10
-
Jonathon: Agosti 2
Vitu vilivyofichwa: