Mkutano Mkuu wa Oktoba 2020 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Russell M. NelsonKusonga MbeleRais Nelson anafundisha kwamba licha ya dhiki, kazi ya Bwana inasonga mbele na tunaweza kutumia wakati huu kukua kiroho. David A. BednarTutawajaribu Kwa Njia HiiMzee Bednar anafundisha kwamba ikiwa tutajitayarisha na kusonga mbele kwa imani katika Yesu Kristo, tutaweza kushinda dhiki. Scott D. WhitingKuwa Kama YeyeMzee Whiting anafundisha jinsi tunavyoweza kufuata amri ya kuwa zaidi kama Mwokozi wetu, Yesu Kristo. Michelle D. CraigMacho ya KuonaDada Craig anafundisha kwamba kwa msaada wa Roho Mtakatifu tunaweza kujifunza kuona wengine na kujiona sisi wenyewe jinsi Mwokozi atuonavyo. Quentin L. CookMioyo Iliyounganishwa katika Haki na UmojaMzee Cook anawahimiza waumini kuwa watu wa Sayuni na kukaa katika haki, kuwa chemchemi ya umoja huku wakifurahia utofauti. Ronald A. RasbandKujikabidhi kwa BwanaMzee Rasband anatuhimiza tujitahidi “kujikabidhi kwa Bwana” kwa mara zote kumfuata Mwokozi na kuwa wenye kustahili kibali cha hekaluni. Dallin H. OaksWapendeni Adui ZenuRais Oaks anafundisha kwmba, kwa msaada wa Mwokozi, inawezekana kutii na kutafuta kuboresha sheria za nchi na pia kuwapenda watesi na maadui zetu. Kikao cha Jumamosi Alasiri Kikao cha Jumamosi Alasiri Henry B. EyringKuwakubali Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Maafisa WakuuRais Eyring anawasilisha Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Maafisa Wakuu kwa ajili ya kura ya kuwakubali. D. Todd ChristoffersonJamii EndelevuMzee Christofferson anafundisha kwamba ukweli wa Mungu unaelekeza kwenye furaha binafsi na ukuaji wa jamii sasa na kwenye amani na furaha hapo baadaye. Steven J. LundKupata Shangwe katika KristoKaka Lund anafundisha kwamba vijana wanaweza kupata shangwe katika Kristo kwa kuwasaidia wengine kwenye njia ya agano kupitia programu ya Watoto na Vijana. Gerrit W. GongMataifa yote, Jamaa na LughaMzee Gong anaeleza jinsi ahadi za Mungu za kubariki mataifa yote zinavyotimizwa, katika njia ndogo na rahisi, kote ulimwenguni. W. Christopher WaddellPalikuwa na ChakulaAskofu Waddell anafundisha kwamba tunatakiwa kutafuta mwongozo wa kiungu na kutegemea kanuni za injili ili kuwa zaidi wenye kujitegemea. Matthew S. HollandZawadi Nzuri Sana ya MwanaMzee Holland anaelezea jinsi mateso na Upatanisho wa Yesu Kristo unaweza kugeuza taabu za dhambi na dhiki kuwa shangwe. William K. JacksonUtamaduni wa KristoMzee Jackson anafundisha kwamba sote tunaweza kusherehekea tamaduni zetu za kidunia wakati tukiwa sehemu ya injili ya Yesu Kristo. Dieter F. UchtdorfMungu Atafanya Kitu Kisichofikirika Mzee Uchtdorf anafundisha kwamba wakati tunapovumilia majaribu yetu, upendo wa Mungu na baraka za injili vitatusaidia kusonga mbele na juu mpaka vina visivyotarajiwa. Kikao cha Mkutano Mkuu wa Wanawake Kikao cha Mkutano Mkuu wa Wanawake Sharon EubankKwa Umoja wa Kihisia Tunapata Nguvu pamoja na MunguDada Eubank anatufundisha kwamba tunaweza kufikia mshikamano mkubwa na kila mmoja wetu hivyo kupata nguvu kubwa toka kwa Mungu. Becky CravenHifadhi MabadilikoDada Craven anafundisha kwamba kupitia Yesu Kristo, tunaweza kufanya mabadiliko ya kudumu na kuwa zaidi kama Yeye. Cristina B. FrancoNguvu ya Uponyaji ya Yesu KristoDada Franco anafundisha kwamba kupitia Upatanisho wa Yesu Kristo, sote tunaweza kurekebishwa na kuponywa. VideoVideo: Nuru Ing’aayo GizaniMpangilio wa video za ukarimu za wanawake ulimwenguni kote wakijihusisha kwenye hali tofauti tofauti za huduma, changamoto na muunganiko. Henry B. EyringAkina Dada katika SayuniRais Eyring anafundisha kwamba wanawake watakuwa muhimu katika kuikusanya Israeli na katika kutengeneza watu wa Sayuni ambao wataishi kwa amani katika Yerusalemu Mpya. Dallin H. OaksJipeni MoyoRais Oaks anafundisha kwamba kwa sababu ya injili tunaweza kujipa moyo, hata katikati ya changamoto na dhiki. Russell M. NelsonKabiliana na Siku Zijazo kwa ImaniRais Nelson anafundisha kwamba tunapaswa kujitayarisha kimwili, kiroho na kihisia kwa ajili ya siku zijazo. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi M. Russell BallardBasi, Kesheni Ninyi Kila Wakati, MkiombaRais Ballard anatufundisha kuomba kwa ajili ya usalama na amani ya mataifa yetu, familia, na viongozi wetu wa Kanisa. Lisa L. HarknessNyamaza, UtulieDada Harkness anafundisha kwamba kama vile Mwokozi alivyoinyamazisha Bahari ya Galilaya, Yeye anaweza kutusaidia kupata nguvu na amani katikati ya majaribu. Ulisses SoaresMtafuteni Kristo katika Kila WazoMzee Soares anafundisha kwamba kuyaweka mawazo na matamanio yetu katika hali iliyo safi hutusaidia sisi kushinda majaribu. Carlos A. GodoyNinaamini katika MalaikaMzee Godoy anafundisha kwamba Bwana anatambua mahitaji yetu na atatuma malaika kutusaidia. Neil L. AndersenTunazungumza Kuhusu KristoMzee Andersen anatuhimiza tujifunze zaidi kuhusu Mwokozi na kuzungumza kuhusu Yeye nyumbani, kanisani, kwenye mitandao ya kijamii, na katika mazungumzo yetu ya kila siku. Russell M. NelsonAcheni Mungu AshindeRais Nelson anafafanua Israeli ya agano la siku za mwisho kama watu ambao huacha Mungu ashinde katika maisha yao. Anatualika sisi kumfanya Mungu awe ndiye ushawishi muhimu zaidi katika maisha yetu. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Henry B. EyringKujaribiwa, Kuthibitishwa, na Kung’arishwaRais Eyring anafundisha kwamba kuvumilia majaribu ya maisha ya duniani kwa uaminifu hutusaidia kuwa zaidi kama Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo. Jeremy R. JaggiSaburi Na Iwe na Kazi Kamilifu, na Hesabuni Ya Kuwa ni Shangwe Tupu!Mzee Jaggi anaelezea jinsi tunavyoweza kupata shangwe, hata katika nyakati za dhiki, kwa kutumia subira na imani katika Yesu Kristo. Gary E. StevensonKubarikiwa Sana na BwanaMzee Stevenson anafundisha kwamba japokuwa tutapitia kuvunjika moyo na masumbuko, tunaweza kupata ufahamu kwamba tumebarikiwa sana na Bwana. Milton CamargoOmba, Tafuta, na BishaKaka Camargo anafundisha jinsi ya kuomba, kutafuta, na kubisha katika sala. Dale G. RenlundFanya kwa Haki, Penda Rehema, na Tembea kwa Unyenyekevu pamoja na MunguMzee Renlund anaeleza jinsi kufuata ushauri katika Mika 6:8 kunavyoweza kutusaidia kubaki kwenye njia ya agano na kuwa zaidi kama Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo. Kelly R. JohnsonNguvu za KudumuMzee Johnson anafundisha kwamba tunaweza kufikia nguvu za Mungu kwa kujenga imani yetu na kutunza maagano yetu. Jeffrey R. HollandKumngojea BwanaMzee Holland anafundisha kwamba tunaweza kuwa na imani kwamba Bwana atajibu sala zetu kulingana na muda Wake na katika njia Yake. Russell M. NelsonMwelekeo MpyaRais Nelson anatufundisha kuigeuza mioyo yetu kwa Baba wa Mbinguni na Mwokozi ili kufikia uwezekano wetu wa kiungu na kuhisi amani. Anatangaza mahekalu mapya sita.