1. Nina familia hapa duniani.
Ni wazuri sana kwangu.
Ninataka kushiriki maisha yangu pamoja na wao katika milele yote.
2. Nikiwa katika maisha yangu duniani mapema,
Nitajiaanda kwa makini,
Ili nioe katika hekalu ya Mungu kwa milele
Familia zinaweza kuwa pamoja milele
Kupitia mpango wa Baba wa Mbinguni
Nataka daima kuwa na familia yangu mwenyewe,
Na Bwana amenionyesha jinsi ninaweza
Bwana amenionyesha jinsi ninaweza
Maneno na muziki © 1980 IRI. Arr. © 2012 IRI. Haki zote zimehifadhiwa Wimbo huu unaweza kunakiliwa kwa ajili ya mahitaji, yasiyo ya kibiashara ya matumizi kanisani ama nyumbani.