Liahona, Aprili 2013 Jumbe 4 Ujumbe wa Urais wa Kwanza: “Amefufuka” Na Rais Henry B. Eyring 7 Ujumbe wa Mwalimu Mtembelezi: Maagano ya Hekalu Makala ya Chapisho 12 Kifo na Maisha: Mtazamo wa Watangulizi kuhusu Ufufuo Watangulizi na manabii wa mapema wanashuhudia kupata matumaini katika ufufuo. 18 Misheni na Huduma ya Yesu Kristo Na Mzee Russell M. Nelson Tunaweza kuiga maswala matano ya maisha ya Mwokozi tunapotaka kumfuata na kuelewa Upatanisho Wake. 26 Wiki ya Pasaka Katika wiki ya mwisho ya maisha Yake, Mwokozi alitenda muujiza mkuu wa yote. 30 Kuwasaidia Watoto Kujitayarisha Kubatizwa Na Jessica Larsen na Marissa Widdison Ni nini wazazi wanaweza kutenda ili kufanya ubatizo wa mtoto wao kuwa na maana zaidi? 34 Vutiwa kwa Hekalu Na Mzee Jairo Mazzagardi Jifunze jinsi hekalu linaweza kusaidia kuleta uongofu. Idara 8 Daftari ya Mkutano Mkuu wa Aprili Kujifunza Hotuba za Mkutano Mkuu Pamoja Na Greg Batty 9 Kufundisha Kwa Nguvu ya Vijana Umuhimu wa Marafiki Wazuri 10 Kile Tunachoamini Roho Mtakatifu Hufariji, Huvuvia, na Hushuhudia 36 Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho 74 Habari za Kanisa 80 Mpaka Tutakapokutana Tena Kunywa kutoka kwa Chemichemi Na Aaron L. West Vijana Wazima 40 Kuchagua Sehemu Bora Na Matthew D. Flitton Ili kujipa sharti kikamilifu kwa injili ya Yesu Kristo, ilimbidi Zoltán awache vitu fulani vizuri. Vijana 42 Maswali na Majibu Je, ninawezaje kueleza rafiki yangu kwa nini kuvunja sheria ya usafi wa kimwili ni wazo mbaya? 44 Jinisi ya Kuhudumu Katika Wito wa Ukuhani Na Rais Thomas S. Monson Jifunze msingi wa kufikia, kufundisha, na kugusa maisha ya wale unaowatumikia. 45 Nafasi Yetu 46 Mbona Tunahitaji Kitabu cha Mormoni Sababu nne Kitabu cha Mormoni ni muhimu. 48 Ukuaji katika Udongo wenye Rutuba: Vijana Waaminifu Nchini Uganda Na Cindy Smith Wavulana na wasichana hawa wanaimarishwa kwa kujitolea kwao kwa ajili ya injili. 52 Kwa Nguvu za Vijana Je, nani Rafiki wa kweli? Na Elaine S. Dalton 54 Ninajua Vipi Mwaliko wangu wa Wokovu Na Emerson José da Silva Wakati hatimaye nilikubali mwaliko wa rafiki yangu, nilijua kuwa nilikuwa nimepata kitu cha muhimu. 56 Njia Kumi za Kujua Kuwa Umeongoka Na Tyler Orton Kile nilijifunza kuhusu uongofu hunisaidia kufuatilia maendeleo yangu katika injili. 59 Bango Kazi Ngumu Inaistahili Sana Watoto 60 Mmisionari Mdogo wa Bibi Deny Na Emília Maria Guimarães Correa Upendo wa Vítor wa injili ulizua uongofu wa bibi yake. 61 Mashahidi Maalum Kwa nini Kanisa Lina Jina Refu Hivi? Na Elder M. Russell Ballard 62 Kusherekea Mahekalu! Na Darcie Jensen Duniani kote, watoto husherehekea kuwa na hekalu karibu nao. 64 Maswali na Majibu ya Hekalu Majibu kwa maswali kama vile, Kwa nini tuna mahekalu? Nini hufanyika ndani yao? 65 Muziki Familia Zinaweza Kuwa Pamoja Milele Na Ruth Muir Gardner na Vanja Y. Watkins 66 Kuleta Mafundisho ya Msingi Nyumbani Yesu Kristo Alirejesha Kanisa Lake katika Siku za Mwisho 68 Kwenye Mapito Mahali Kanisa Lilianzishwa Na Jan Pinborough 70 Kwa Watoto Wadogo 81 Picha ya Nabii Wilford Woodruff Ona kama unawezakupata Liahona iliofichwa katika toleo hili. Kidokezo: Tumia macho yako ya ushujaa. Kwenye Jadala Mbele: Kielelezo kwa Picha na Tim Taggart © IRI. Nyuma: Kielelezo kwa Picha na Matthew Reier. Ndani ya jadala la mbele: Picha na Kristine Šumska. Mawazo ya Mkutano wa Jioni wa familia nyumbani