Kurasa ya Kuchorea Mchoro na Jared Beckstrand Yesu Anatembea juu ya Maji “Wanafunzi walipomwona akitembea juu ya bahari, wakafadhaika, wakisema, Ni kivuli; wakapiga yowe kwa hofu. “Mara Yesu alinena, akawaambia, Jipeni moyo; ni mimi; msiogope” (Mathayo 14:26–27).