Aprili 2020 Miaka 200 ya Nuru Nairobi, Kenya Mkutano Mkuu Miaka yote Rais Russell M. NelsonSiku za Baadaye za Kanisa: Kuuandaa Ulimwengu kwa ajili ya Ujio wa Pili wa MwokoziRais Nelson anafundisha jinsi ambavyo tuna nafasi ya kushiriki katika Urejesho unaoendelea kupitia kazi kwenye pande zote mbili za pazia katika maandalizi kwa ajili ya Ujio wa Pili wa Mwokozi. Beglind Guðnason—Árnessýsla, IcelandKijana mkubwa huko Iceland anashiriki uzoefu wake jinsi alivyoshinda mfadhaiko. Kuhudumu kupitia Mkutano MkuuMapendekezo ya jinsi unavyoweza kutumia mkutano mkuu kuwahudumia wengine. Mzee LeGrand R. Curtis Jr.Urejesho UnaoendeleaMzee Curtis wa Sabini anafundisha jinsi tunavyoweza kuendelea kufanikisha Urejesho wa injili. Walikuwa na Tumaini la Kuja kwa Kristo—na Pia Sisi Tunaweza Kuwa NaloJinsi tunavyoweza kufuata mifano ya manabii katika Kitabu cha Mormoni katika kupata tumaini kwenye Ujio wa Pili wa Kristo. Njoo, Unifuate: Kitabu cha Mormoni Pasaka Ina Maana Gani Kwangu Mimi?Msaada wa kujifunza kwa ajili ya Kitabu cha Mormoni. Kwa Nini Mfalme Benyamini Anatualika Tuwe Kama Mtoto Mdogo?Msaada wa kujifunza kwa ajili ya Kitabu cha Mormoni. Inamaanisha Nini Kuwa na Jina la Kristo Kuandikwa Katika Mioyo Yetu?Msaada wa kujifunza kwa ajili ya Kitabu cha Mormoni Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Jonathan Mafra Sena de SantanaBaraka Pekee Ndiyo Niliweza Kutoa Laura LintonNdege Mdogo Alinikumbusha Sylvie HoumeauYenye Thamani Kuliko Bangili ya Fedha Godfrey J. Ellis”Tazama Kile Imani Ndogo Inachoweza Kufanya?” Mzee Kyle S. McKayBadiliko Kuu la MoyoMzee McKay anafundisha kwamba kwa sababu ya Upatanisho wa Yesu Kristo, tunaweza kusafishwa kutokana na dhambi na kuponywa kutokana na utendaji dhambi. Urais wa KwanzaKuboresha Uzoefu Wetu wa HekaluniUrais wa Kwanza unatangaza marekebisho ya mavazi maalum ya ibada ya hekaluni. Vijana Wakubwa Tunaweza Kueneza Nuru ya Injili Jinsi Vijana Wakubwa Wanavyoleta Tofauti katika Urejesho Unaoendelea.Jinsi vijana wakubwa kote ulimwenguni wanavyoshiriki katika Urejesho unaoendelea. Kidijitali Pekee: Vijana Wakubwa Cesar GervacioJe, Unafikiri Huna Lengo kama Kijana Mkubwa? Fikiria TenaJinsi gani vijana wakubwa wanaweza kuwa viongozi shupavu katika Kanisa sasa. Lauri Ahola Kutumia Jina Kamili la Kanisa Ilikuwa Vigumu lakini IlistahiliKijana mkubwa anaweka changamoto ya Rais Nelson ya kutumia jina kamili la Kanisa kwenye jaribio. Kupata Furaha katika Kufanya Kazi ya Bwana Mifano kutoka kwa vijana wakubwa wanaopata furaha kwa kushiriki katika vipengele vya kazi za wokovu. Mindy Selu Kujenga Ufalme katika New CaledoniaVijana wakubwa katika New Caledonia wanaonesha kwa mfano kile inachomaanisha kujenga ufalme kupitia huduma. Kidijitali Pekee Jeff Bates Je, Maisha Yako ya Nyuma Yanakuzuia?Kijana mkubwa analeta dhambi zake kwenye meza ya sakramenti. Vijana Vijana Neil L. AndersenImarisha Ushuhuda Wako Kupitia Ono la Kwanza Sydney Chime IhunwoTeksi, Mvulana wa Shule, na Jibu la Sala Mzee Edward DubeKupata Imani Yangu Hatua Baada ya HatuaMzee Dube wa Sabini anashiriki uzoefu kutoka ujana wake ambao ulimsaidia kujenga imani yake kwa maisha yake yote. Ni nini unasema wakati rafiki zako hawaamini kwamba vitu kama Ono la Kwanza vinaweza kutokea? Ni nini unasema wakati rafiki zako hawaamini kwamba vitu kama Ono la Kwanza vinaweza kutokea?Vijana wanajibu swali kuhusu kuelezea Ono la Kwanza kwa Marafiki. Ni jinsi gani Joseph Smith alitafsiri Kitabu cha Mormoni? Picha Nne kutoka Wiki ya PasakaPicha kutoka wiki ya mwisho ya maisha ya duniani ya Mwokozi zinafundisha kuhusu ufalme Wake, mateso Yake, na ushindi Wake dhidi ya dhambi na mauti. Watoto Friend Kutoa msaada kwa Urejesho Rais Russell M. NelsonKutoa msaada kwa Urejesho Kujifunza kuhusu Urejesho Kanisa la Yesu Kristo Limerejeshwa Itafute! Baba wa Mbinguni Husikia Sala Zangu Lucy StevensonKanisa kwa ajili ya Zulma Nathan HoweOno la KwanzaMuziki kuhusu Ono la Kwanza la Joseph Smith. Hujambo kutoka katika Msitu Mtakatifu Na Marissa WiddisonFamilia ya Milele ya Alonso Joy D. Jones Hekalu na Wewe Wazo Zuri Wapendwa Wazazi