Kanisa Liko Hapa Busan, Korea Kusini Picha kutoka Getty Images Busan ni nyumbani kwa moja ya vigingi 12 katika Korea Kusini. Makao makuu ya misheni yapo Busan. Hizi ni baadhi ya kweli kuhusu Kanisa Korea Kusini: 88,418 waumini 103 mikusanyiko 12 vigingi, wilaya 5, misheni 4 18 vituo vya historia ya familia 1 hekalu (Seoul) 1956 Wamisionari rasmi wa kwanza 1967 Kitabu cha Mormoni kilichapishwa kwa mara ya kwanza kwa Kikorea 1973 Kigingi cha kwanza kiliundwa 1985 Hekalu la Seoul liliwekwa wakfu 1991 Nakala ya milioni moja ya Kitabu cha Mormoni katika Kikorea