Wapendwa Wazazi,
Kila mtoto lazima alindwe na kutunzwa. Yesu aliweka mfano wa hili katika Kitabu cha Mormoni, kwa kumbariki na kumwombea kila mtoto (ona kurasa R20-23). Ni kwa jinsi gani tunaweza kuwabariki na kuwalinda watoto tunaowajua? Hapa ni baadhi ya mawazo:
-
Tunaweza kuwalinda kimwili na kuwafundisha kuheshimu miili ya watu wengine (ukurasa wa R12-13
-
Tunaweza kuwalinda kiroho kwa kuwahimiza kula sakramenti (kurasa za R2-3).
-
Tunaweza kuwafundisha kuomba msaada pale wanapohitaji (kurasa za R14-15).
Unaweza kuchagua ujumbe mmojawapo ili kusoma pamoja kama familia. Hakikisha watoto wako wajue jinsi gani wanavyopendwa.
Tunawapenda,
The Friend