Oktoba 2020 COVID-19 na Toleo HiliMaelezo ya muhtasari kuhusu maudhui haya na hali ya sasa iliyopo ya janga la COVID-19. Kuzuia Unyanyasaji Busan, Korea ya KusiniBaadhi ya kweli kuhusu Kanisa katika Korea Kusini. Sakiusa na Salote Maiwiriwiri Utumishi kupitia Programu ya Watoto na VijanaMawazo ya jinsi ya kutumikia kupitia Programu ya Watoto na Vijana. Mitume Hushiriki Jumbe za TumainiWashiriki wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili hushiriki umaizi kuhusu kukaa karibu na Mungu na kuwahudumia wengine wakati wa janga kubwa. Jason B. WhitingMioyo Iliyochomwa na Majeraha ya Kina: Kuelewa Unyanyasaji katika FamiliaProfesa wa BYU anaelezea mifumo ya unyanyasaji ndani ya familia. Mzee Lawrence E. CorbridgeSimama juu ya Mwamba wa UfunuoMzee Corbridge anafundisha jinsi tunavyoweza kupata majibu ya maswali yetu muhimu sana kwa kuweka mizizi katika Mwokozi. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Vinaisi Maca NaquereYeye Bado Ni Wetu Alaina DunnAnaniweka Tena Pamoja Michael Jacobson“Je, Mnacho Kitabu cha Bluu chenye Herufi za Dhahabu?” Rui Cong HongKusudi la Ubatizo Wangu Je, tunawezaje kupata nguvu ya uponyaji ya Kristo?Visaidizi vya kujifunza usomaji wa Njoo, Unifuate kwa mwezi huu. Ninawezaje kuomba kama alivyo fundisha Mwokozi?Visaidizi vya kujifunza usomaji wa Njoo, Unifuate kwa mwezi huu. Je, ni kwa jinsi gani sisi tunashiriki katika “kazi ya ajabu” ya Bwana?Visaidizi vya kujifunza usomaji wa Njoo, Unifuate kwa mwezi huu. Inamaanisha nini kuongolewa kweli?Visaidizi vya kujifunza usomaji wa Njoo, Unifuate kwa mwezi huu. Askofu Dean M. DaviesNyumba za mikutano—Mahali pa Unyenyekevu na KuabuduAskofu Davies anafundisha jinsi tunavyoweza kumsikia Roho wakati tunapoabudu kwa unyenyekevu katika nyumba zetu za mikutano. Kidijitali Pekee Nanon TalleyKutambua Unyanyasaji wa KihisiaMifano na dalili za unyanyasaji wa kihisia. Vijana Wakubwa Unaweza Kupata Uhuru Destiny YarbroJe, Kutawaliwa na Mazoea Mabaya ni Sawa Sawa na Uasi?Kijana mkubwa wa kike anaelezea mtazamo wake juu ya kwa nini kutawaliwa na mazoea mabaya siyo sawa sawa na uasi na jinsi gani kutawaliwa na mazoea mabaya kunaweza kusaidia kulainisha mioyo yetu. Richard OstlerVidokezo 7 vya Kushinda Matumizi ya PonografiaAskofu wa zamani wa kata ya vijana wakubwa waseja anashiriki vidokezo juu ya kushinda utumiaji usioweza kuthibitika wa ponografia. Kidijitali Pekee: Vijana Wakubwa Onnastasia ColeKumsaidia Mama yangu kwenye safari yake ya kushinda UraibuKijana mkubwa anashiriki uzoefu wake wa kusaidia kumuunga mkono mama yake katika safari yake ya kushinda uraibu. Marissa WiddisonNjia Zaidi ya Moja za Kujifunza MaandikoMawazo ya haraka, mawazo ya kufurahisha ya kujifunza maandiko Vijana Vijana Wafunguzi Sam LofgranHuduma ya Kila siku ya MartaMsichana nchini Ureno anapata shangwe kwa kumhudumia mama yake. Jinsi Nilivyopata Uponyaji kutokana na Unyanyasaji wa Kijinsia Jina limefichwaJinsi Nilivyopata Uponyaji kutokana na Unyanyasaji wa Kijinsia Ikiwa Wewe ni Mwathiriwa wa Unyanyasaji Ni kwa jinsi gani ninaweza kushinda hisia za upweke? Ni kwa jinsi gani ninaweza kushinda hisia za upweke?Vijana wanashiriki majibu kuhusu jinsi ya kukabiliana na upweke. Kwenye Hoja Mzee Ronald A. RasbandTumaini Letu, Nuru Yetu, Nguvu Yetu Kaka wa YarediHabari juu ya Abish mwanamke kutoka Kitabu cha Mormoni. Friend Friend Dallin H. OaksSakramenti na Mimi Stacy Lynn CarrollMpweke Wakati wa Chakula cha Mchana Halo kutoka Madagacar Na Marissa WiddisonFaneva Mmisionari Wazo Zuri Onyesha na SemaWatoto wanaelezea uzoefu wao wa kuangalia mkutano mkuu. Kusema Hapana, Kusikia HapanaJinsi ya kuwasaidia watoto wako kujifunza kusema “hapana” katika hali ambapo hawapo vizuri. Julie Cornelius-HuangMwite Baba Alan Iván Ruiz OntiverosPeso ya Zaka Muda wa Zaka Mzee Edward DubeKushiriki Injili Watu Waaminifu Walimfuata Yesu Watu Waliishi kwa FurahaUkurasa wa Kupaka rangi Wapendwa Wazazi,