2022
Kumfuata Yesu kwa Pamoja
Machi/Aprili 2022


Kumfuata Yesu kwa Pamoja

Picha
boy with block temple he built

Roberto R., umri miaka 10, Concepción, Chile

Picha
painting of house at night

Zhou F., umri miaka 7, Rewa, Fiji

Picha
drawing of tree frog

Clara H., umri miaka 9, Arizona, Marekani

Picha
drawing of tiger

Scott M., umri miaka 6, New Mexico, Marekani

Picha
drawing of Jesus

“Ninajua Kwamba Yesu Yu Hai,” Helaman K., umri miaka 7, Hsinchu, Taiwan

Picha
drawing of temple

Maria Julia S., umri miaka 8, Pernambuco, Brazil

Picha
Quinn Pack

Nilitoa ushuhuda wangu kwa mara ya kwanza! Nilikuwa natetemeka, hivyo nikafikiria kuhusu Yesu na sikuhisi kuogopa tena.

Quinn P., umri miaka 10, Nevada, Marekani

Picha
Summer Hamilton

Nilipata andiko kuhusu sala na kuliandika chini ya picha niliyochora kwa ajili ya tukio la Rafiki kwa Rafiki. Inanikumbusha jinsi gani kusali ni muhimu.

Summer H., umri miaka 10, Nottinghamshire, Uingereza

Picha
Dalia Parry

Rafiki yangu alinialika kucheza siku ya Jumapili. Nilifikiria njia nzuri ya kumwelezea kwamba Jumapili ni siku ya kiroho kwa ajili ya mimi kumwabudu Mungu na kuwa pamoja na familia yangu. Nilihisi vizuri baada ya hapo.

Dalia P., umri miaka 9, Nebraska, Marekani

Picha
Heidi Braun

Mimi pamoja na bibi yangu hucheza pamoja mchezo kwenye kompyuta na kujenga mahekalu kwa mchezo huo. Mahekalu yanaonekana ya kuvutia!

Heidi B., umri miaka 10, Ohio, Marekani

Picha
Miguel Alves showing a drawing of a boy praying

Chumba changu ni sehemu tulivu na yenye amani ambapo naweza kupata majibu ya maombi yangu. Inanipa furaha kujua kwamba Baba wa Mbinguni husikia maombi yangu.

Miguel A., umri miaka 6, Minas Gerais, Brazil

Chapisha