2022
Kadi za Shujaa wa Maandiko
Machi/Aprili 2022


Kadi za Shujaa wa Maandiko

Kata kadi, zikunje kwa kufuata mistari ya nukta, na zifunge kwa kuzigundisha kwa tepu.

Nuhu

Picha
cut-out card of Noah building ark

“Mtu wa haki na mkamilifu.”

  • Alikuwa nabii. Aliwaambia watu waovu watubu.

  • Mungu alimuonya kwamba kutakuwa na gharika.

  • Alifuata maelekezo ya Mungu ya kujenga safina. Aliiweka salama familia yake. Waliwaokoa wanyama pia!

Rebeka

Picha
cut-out card of Rebekah watering a camel

“Akasema, Nitakwenda.”

  • Alimsaidia mtumishi wa Ibrahimu kwa kuwanywesha maji ngamia zake.

  • Alikuwa jasiri. Aliuacha mji wake ili akaolewe na Isaka mwana wa Ibrahimu.

  • Walipata wana mapacha walioitwa Yakobo na Esau.

Picha
Page from the March 2022 Friend Magazine.

Vielelezo na Alona Millgram

Chapisha