2022
Yesu Aliwajali Wagonjwa
Machi/Aprili 2022


Kusaidia Kama Yesu

Yesu Aliwajali Wagonjwa

Picha
Jesus giving a woman a blessing

Popote Yesu alipokwenda, Aliwajali watu waliokuwa wagonjwa au kuumia. Baada ya kufufuka, Yesu aliwatembelea Wanefi. Aliwaambia wawalete Kwake watu waliokuwa wagonjwa au waliokuwa wameumia. Aliwafariji. Aliwaponya. Watu walikuwa wenye shukrani kwamba Yesu amewasaidia.

Picha
Collin Mallard

Napenda kuhudumu! Wakati mjomba wangu mkubwa alipokuwa anaumwa, nilisaidia kumhudumia paka wake. Pia nilimsaidia baba yangu kuvuna pekani na kuzipeleka sokoni.

Collin M., umri miaka 7, Georgia, Marekani

Picha
Page from the March 2022 Friend Magazine.

Kielelezo na Jim Madsen

Chapisha