2022
Burudani ya Mkutano Mkuu!
Machi/Aprili 2022


Burudani ya Mkutano Mkuu!

Picha
Page from the March 2022 Friend Magazine.

Paka Rangi kwa Kufuata Namba

Unaposikia maneno haya, paka rangi sehemu zinazooana kwenye picha.

  1. Yesu Kristo

  2. Muziki

  3. Sala

  4. Watoto

  5. Imani

Chora picha!

Chora kitu ambacho unamsikia mnenaji akikiongelea.

Mashujaa wa Maandiko

Andika majina ya mashujaa wa maandiko ambao wanenaji wanawaongelea. Kisha soma hadithi zao katika maandiko hapo baadae!

Njia ya Mkutano Mkuu

Chora nyota katika nafasi tatu. Kisha sikiliza maneno kwenye orodha. Unaposikia neno moja, liandike kwenye nafasi inayofuatia. Ruka sehemu zenye nyota. Je, unaweza kufika mwisho wa njia?

  • Mtume •

  • Baraka •

  • Kitabu cha Mormoni •

  • Imani •

  • Familia •

  • Tumaini •

  • Joseph Smith

  • Ukarimu •

  • Upendo •

  • Nabii •

  • Maandiko Matakatifu •

  • Huduma •

  • Hekalu •

  • Ushuhuda

Vielelezo na Corey Egbert

Chapisha