2022
Mzingile wa Jirani
Machi/Aprili 2022


Kitu cha kufurahisha

Mzingile wa Jirani

Picha
game showing an apartment building

Mei anataka kuonyesha upendo kwa jirani zake kwa kuwapa maandazi ya nanasi. Tumia vidokezo ili kumsaidia kujua nani anaishi kwenye kila ghorofa.

  1. Mei anakaa ghorofa ya chini.

  2. Wong na Deshi wote wana wanyama wadogo wafugwao wanaowapenda.

  3. Deshi na Eric wanakaa kwenye vyumba vyenye milango ya rangi nyekundu.

  4. Cherry anakaa juu ya Eric lakini chini ya Roy.

  5. Roy amepanda maua kwenye dirisha lake, kama vile Chen.

Kielelezo na Thomas Child

Chapisha