Oktoba 2017 Kikao cha Mkutano Mkuu wa Wanawake Kikao cha Mkutano Mkuu wa Wanawake Sharon EubankWasha Taa YakoDada Eubank anawahimiza wanawake Watakatifu wa Siku za Mwisho kufuata hamasa iliyotolewa na Rais Spencer W. Kimball ya kuwa wenye haki, wenye kujieleza vizuri, tofauti, na dhahiri. Neill F. MarriottKukaa katika Mungu na Kuziba UfaDada Marriott anashiriki mwaliko wa Mungu wa kumkaribia Yeye na anashuhudia nguvu za Mwokozi za kuziba ufa ambao unatutenganisha Naye. Joy D. Jones Thamani bila kifaniDada Jones anafundisha kwamba Roho atatuthibitishia ukweli wa thamani yetu takatifu. Upendo wetu kwa Mwokozi unaweza kutusaidia kushinda udhaifu na kujishuku. Dieter F. UchtdorfDada WatatuRais Uchtdorf alasimulia methali ya dada watatu—mwenye huzuni, mwenye wazimu, na mwenye furaha—kutufundisha kwamba sisi ni watoto wa Mungu na kwamba njia ya uanafunzi uongoza hata kwenye furaha. Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Dieter F. UchtdorfHamu ya NyumbaniRais Uchtdorf anafundisha kwamba kumgeukia Bwana kutafanya maisha yetu kuwa bora na kutatusaidia kufanya maisha ya wengine kuwa bora. Bonnie L. OscarsonMahitaji yaliyo mbele yetuDada Oscarson anatufundisha kuwahudhumia wale walio karibu nasi: familia zetu, marafiki, washiriki wa kata na jamii. Kiini cha kuishi injili ni huduma. Mzee Dallin H. OaksMpango na TangazoMzee Oaks anaelezea jinsi fundisho katika tangazo la familia hutusaidia kujiandaa kwa kuinuliwa na kutuongoza kushinda chamgamoto familia inakabiliana nazo. John C. Pingree Jr.“Na Ninayo Kazi kwa Ajili Yako”Kina ndugu na kina dada, Mungu anayo kazi kwa kila mmoja wetu. Pia anashiriki kanuni za kutusaidia kutekeleza kazi hiyo na anatuonya juu ya njia ambazo Shetani atakinzana nasi. Mzee D. Todd ChristoffersonChakula Chenye Uzima Kilichoshuka kutoka MbinguniMzee Christofferson anatualika tutafute utukufu kwa kupokea mwaliko wa Mwokozi kupokea kiistairi mwili Wake na kunywa damu Yake. Jeffrey R. HollandBasi Ninyi Mtakuwa Wakamilifu—HatimayeMzee Holland anafundisha kwamba katika kujibu ile amri ya kuwa kamili, hatupaswi kuvunjika moyo lakini tunapaswa kustamili ili kupata tunzo katika milele. Kikao cha Jumamosi Alasiri Kikao cha Jumamosi Alasiri Henry B. EyringKuidhinisha Maafisa wa KanisaRais Eyring anawasilisha majina ya Viongozi Wakuu wa Kanisa kwa ajili ya kura ya kuidhinisha. Gary E. StevensonKupatwa KirohoMzee Stevenson anafananisha kupatwa kwa jua na kupatwa kiroho. Taswira ya injili inaweza kutusaidia kushinda kiburi na kutumia vyombo vya habari kuwainua wengine. Stephen W. OwenToba Siku Zote ni ChanyaNdugu Owen anafundisha kwamba toba ni zawadi inayotolewa na Mwokozi. Kama vile mwana mpotevu, tunafanya chaguzi za kila siku ambazo zinatuongoza kwa Baba yetu wa Mbinguni. Mzee Quentin L. CookKila siku ya mileleMzee Cook anafundisha kwamba unyenyekevu ni muhimu katika kumsaidia Bwana kuendeleza Kanisa Lake na katika kusaidia kuwaandaa watu kukutana na Mungu. Mzee Ronald A. RasbandKwa Mpango MtakatifuMzee Rasband anaelezea kwamba maisha yetu ni sehemu ya usanifu mtakatifu wa Bwana na kwamba Yeye atatuongoza tunapojitahidi kuwa wema. O. Vincent HaleckMoyo wa MjaneMzee Haleck anatuhimiza tuwe na “moyo wa mjane,” akiahidi kwamba Bwana atatubariki tunapofanya yote tuwezayo kujenga ufalme wa Mungu. Russell M. NelsonKitabu cha Mormoni: Je, Maisha Yako Yangekuwaje Bila Kitabu Hiki?Rais Nelson anaelezea umuhimu wa Kitabu cha Mormoni, anashuhudia kwamba kinafundisha juu ya Kristo, na kutuhimiza kwa maombi tujifunze kila siku. Mkutano Mkuu wa Ukuhani Mkutano Mkuu wa Ukuhani Mzee Dale G. RenlundUkuhani na Nguvu za Upatanisho wa MwokoziMzee Renlund anafundisha kwamba kazi ya ukuhani ni kuwaletea watoto wa Mungu nafasi za kunufaika kutokana na nguvu za upatanisho wa Mwokozi. David F. EvansUkweli wa Mambo YoteMzee Evans anafundisha ya kwamba tunaweza kuimarisha ushuhuda wetu kwa kutafuta majibu kwa dhati, kujifunza maandiko, kutubu, na kuweka amri. Richard J. MaynesKupata Uaminifu kwa Bwana na Familia YakoMzee Maynes anafundisha kwamba Bwana hutuhitaji sisi kwanza kumwamini Yeye. Kuwa na “moyo wa uadilifu” kutatusaidia kuwa wakweli kwa maagano yetu. Dieter F. UchtdorfWabeba Nuru ya MbinguniRais Uchtdorf anawafundisha wenye ukuhani kwamba wao ni wabeba nuru ya Mungu, ambayo huleta uponyaji wa kiroho kwa wale walio gizani. Henry B. EyringBwana anaongoza Kanisa LakeRais Eyring anatufundisha kwamba Bwana huongoza Kanisa Lake kupitia manabii na kwamba tunahitaji kuwa na imani ili kuwakubali wale walioitwa kuongoza katika Kanisa. Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Jean B. BinghamKwamba Shangwe Yenu Iwe KamiliDada Bingham anafundisha kwamba, licha ya changamoto za duniani, tunaweza kumtegemea Yesu Kristo kama kiini cha uponyaji wote, amani, na uendelevu wa milele. Donald L. HallstromJe, Wakati wa Miujiza Umekoma?Mzee Hallstrom anafundisha kuhusu aina tofauti za miujiza na anashuhudia juu ya miujiza ya kiroho ambayo wote tunaweza kupokea kupitia injili. Mzee David A. BednarAhadi Kuu Zaidi na za ThamaniMzee Bednar anafundisha kuhusu kuzingatia ahadi za injili na jinsi siku ya Sabato, hekalu, na nyumba zetu zinaweza kutusaidia kukumbuka ahadi hizi. W. Christopher WaddellMgeukie Bwana.Askofu Waddell anafundisha kwamba licha ya changamoto ambazo maisha hutuletea sisi wote, tunaweza kuchagua kumgeukia Mwokozi, kupokea msaada Wake, na kuishi maisha ya majaliwa. W.Craig ZwickBwana, Nifumbue Macho Yangu Nipate Kuona.Mzee Zwick anatufundisha jinsi kulenga juu ya Yesu Kristo kunaweza kutusaidia kuangalia zaidi ya kile tunaona kiuhalisia ili tuweze kuwaona wengine vile Yeye anavyowaona wao. Henry B. EyringUsiogope kutenda MemaRais Eyring anafundisha kuwa tunapojifunza Kitabu cha Mormoni, kuzidisha imani yetu katika Yesu Kristo, tutashinda uoga na kuwa na hamu ya kuwasaidia walio na mahitaji. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Mzee M. Russell BallardSafari Inaendelea!Mzee Ballard anatufunza kwamba tunapokumbuka safari ya watangulizi wa Mormon tunapaswa kusafiri maishani mwetu kwa imani katika Bwana na hisani kwa wengine. Na Tad R. CallisterUshahidi wa Mungu wa kuvutia: Kitabu cha MormoniNdugu Callister anaelezea jinsi wakosoaji wa Kanisa hujaribu lakini hushindwa kupinga Kitabu cha Mormoni. Anashuhudia ya kwamba Joseph Smith alikitafsiri kupitia ufunuo. Joni L KochMbali, Bali PamojaMzee Koch anafundisha kuhusu umuhimu wa kuungana pamoja na viongozi wetu wa Kanisa na waumini wenzetu. Stanley G. EllisJe, tunamwamini Yeye? Ugumu ni MzuriMzee Ellis anatufundisha kwamba Bwana anatuamini. Je, Tunaweza kuwa na imani ya kumwamini Yeye? Uzoefu mgumu unaweza kutufanya kuwa imara zaidi na wanyenyekevu zaidi. Adilson de Paula ParrellaKweli za Msingi—Haja Yetu ya KutendaMzee Parrella anatukumbusha kwamba Ono la Kwanza na Nabii Joseph Smith vilileta kweli ambazo ni kuhimu kwa furaha yetu na kuinuliwa kwetu. Ian S. ArsdernTafuteni kutoka kwenye vitabu vizuriMzee Ardem anafundisha jinsi ya kuimarisha ushuhuda wetu wa Yesu Kristo na Kitabu cha Mormoni huweza kuongeza imani yetu tunapokumbana na upinzani na maswali, José L. AlonsoMpendane, kama Alivyotupenda Sisi.Mzee Alonso anatufunza vile tunaweza kufuata mfano wa Mwokozi wa upendo kwa kuwatumikia na kuwasamehe wengine. Mzee Neil L. AndersenSauti ya BwanaMzee Andersen anashuhudia kwamba manabii na mitume wa Bwana wanazungumza kwa niaba Yake, na anatualika tusikilize na kufuata ushauri wao.