“Msikilize Yeye,” Liahona, Sept. 2023
Msikilize Yeye
Picha
placeholder alt text
“Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lo lote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni.
“Kwa kuwa walipo wawili au watatu wamekusanyika kwa jina langu, mimi nipo papo hapo katikati yao.”
Kielelezo na Brian Call