Septemba 2023 Msikilize YeyeBango lenye sanaa ya kupendeza ya mchoro na andiko. Karibu kwenye Toleo HiliCamille N. JohnsonTumeungana kama akina Dada na akina Kaka katika KristoRais Johnson anafundisha jinsi tunavyoweza kuwa na umoja kupitia Kristo katika kazi ya wokovu na kuinuliwa. Makala Zilizoangaziwa Gerrit W. GongAkina Kaka na akina Dada katika BwanaMzee Gong anafundisha kwamba tunakuwa na ufanisi mkubwa katika huduma ya Bwana tunapothamini michango ya kila mmoja na kufanya kazi pamoja, akina kaka na akina dada katika kazi Yake. Miujiza ya YesuCamille N. JohnsonUnyenyekevu wa Mwanamke wa KanaaniRais Johnson anafundisha jinsi mwanamke Mkananyo asiyejulikana sana katika Mathayo 15 alivyoonesha mfano wa imani na unyenyekevu. Kyle S. McKay“Ningetaka Mkumbuke”Mzee McKay anafundisha kwamba kila mmoja wetu amepatiwa vikumbusho binafsi vya Kristo na kwamba tunapaswa kuvitegemea na kumkumbuka Yeye. Suluhu za Injili Wafanyakazi wa Huduma za FamiliaBaada ya uzoefu wa hofu: Kujenga Uthabiti na Kukumbatia UponyajiWafanyakazi wa Huduma za Familia wanashiriki ujumbe wa uponyaji na njia tano za kujenga uthabiti. Marlene SullivanNina Shukrani “Kumsikiliza Yeye”Nimekuwa na wakati mgumu kusikia kanisani, lakini hadithi kutoka katika Agano Jipya ilinisaidia nione hali yangu kwa njia tofauti. Njoo, Unifuate Safari za Umisionari za Mtume PauloMtume Paulo alisafiri zaidi ya maili 9,000 kwa miguu na kwa mashua katika safari zake ummisionari. Waraka wa Mtume Paulo, sehemu ya 2Mtazamo kwenye nyaraka tano za Mtume Paulo. Ni kwa Jinsi Gani Tunaweza Kuifanya Mikusanyiko Yetu Iwe yenye Umoja Zaidi?Ni kwa jinsi gani tunaweza kushinda migawanyiko na wengine na kuwa wenye umoja zaidi. Ni Ushindi Gani Huja Kwa Sababu ya Ufufuko?Baraka tatu ambazo huja Kwa sababu ya Ufufuko. Ni kwa Jinsi Gani Huzuni ya Kiungu Hutusaidia Tutubu?Jifunze zaidi kuhusu huzuni iliyo kwa jinsi ya Mungu kutoka 2 Wakorintho 7 Ni kwa Jinsi Gani Ninarahisisha Maisha Yangu Ili Kufokasi kwa Kristo?Jinsi ya kufuata mafundisho ya Paulo ili kufokasi kwenye “unyofu na usafi kwa Kristo.” Kanuni za KuhudumuKuhudumu kwa SubiraJinsi ya kukuza subira katika maisha yetu wenyewe na maisha ya wale tunaowahudumia. Kanisa Liko HapaTaipei, TaiwanMaelezo juu ya ukuaji wa Kanisa huko Taiwan. Misingi ya InjiliKuwatunza Wale Walio na Mahitaji.Muhtasari wa kanuni zinazohusiana na kuwatunza wale walio na mahitaji Kwa ajili ya WazaziMtegemee Mungu kwa ajili ya Madhumuni na MwongozoMakala ya “Kwa ajili ya Wazazi” kuhusu jinsi tunavyoweza kumkumbuka Kristo na kufuata nyenzo ambazo tumepatiwa ili kupata dhumuni katika maisha haya. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Zheng LiuUbatizo wa Usiku wa IjumaaMtu ambaye alitamani kutubu anahudhuria ibada ya Kanisa ya ubatizo na inamuongoza kuwa na mazungumzo na wamisionari. Laura A. MikuleckyKushiriki Nakala 72 za Kitabu cha MormoniMwanamke kwa ufanisi anashiriki Kitabu cha Mormoni na watu ambao walikuja nyumbani kwake kumsaidia mumewe na kurekebisha baraza. Michael J. LantzJe, Ungependa Kujua Zaidi?Mvulana mmoja katika jeshi alimuuliza mwanajeshi mwenza, Mtakatifu wa Siku za mwisho, kwa nini yeye alioneka kuwa tofauti, ikimwongoza mvulana huyu kujua zaidi kuhusu injili. Phumelele MkhizeKuponywa HekaluniHekaluni, mwanamke ambaye alikuwa amepoteza watoto wawili anahisi hakikisho la kina kwamba Bwana anampenda na anajali mapambano yake. Jeffrey N. ReddWatu wa Kufundishwa GerezaniAkifungwa gerezani bila kutarajia, dada mmisionari anafunza kanuni za Injili kwa wafungwa wenzake huku mamia ya watu wakisali kwa ajili ya kuachiliwa kwake Vijana Wakubwa Matthew L. RasmussenKupata na Kuonesha HurumaMwalimu wa chuoni anafundisha jinsi ya kupata na kuonesha huruma kwa wengine. Csaba Zétény KozmaHatimaye Kuelewa Kile Inachomaanisha Kupendwa na MunguKijana mkubwa anapata tumaini na nguvu katika utambulisho wake kama mtoto wa Mungu. Kurasa za Eneo la Afrika ya Kati Umuhimu wa Hekalu la Mungu katika Maisha Yako Kuwa Mwenye Kujitegemea Ameniachia Amani Safari Yangu kwenye njia ya agano Wasifu wa Muumini: Dumazedier Kabasele Kanisa Linaunga Mkono Juhudi za Serikali ya Uganda za Kuboresha Afya ya Wasichana na Mahudhurio Shuleni Uhusiano kati ya Nyumbani na Kanisa