2021
Safari ya Kuijua Uruguay pamoja na Margo na Paolo
Novemba/Desemba 2021


Timu ya Mikono Saidizi

Safari ya Kuijua Uruguay pamoja na Margo na Paolo

Picha
Margo and Paolo riding a hot air balloon above Uruguay

Uruguay ni nchi nzuri iliyopo Amerika ya Kusini.

Picha
picture of a capybara

Kuna wanyama wengi wazuri hapa.

Kama huyu capybara mkubwa!

Picha
Margo standing in front of temple in Uruguay

Kuna hekalu katika makao makuu ya Uruguay, Montevideo.

Picha
two children playing soccer

Mchezo unaopendwa sana Uruguay ni mpira wa miguu.

Acha tuone kama tunaweza kujiunga!

Vielelezo na Katie McDee

Chapisha