2021
Kanisa Ulimwenguni kote
Novemba/Desemba 2021


Hadithi za Maandiko

Kanisa Ulimwenguni Kote

Picha
a pioneer boy and girl walking through a field of flowers next to covered wagons

Bwana aliwaambia waumini wa Kanisa waondoke na kwenda mbali. Baadhi waliendesha mikokoteni iliyokokotwa na farasi. Baadhi walivuta mikokoteni kwa mikono.

Picha
pioneer children helping cleanup at building site for Salt Lake Temple

Walikwenda kuishi eneo jipya. Walijenga nyumba na miji. Walijenga mahekalu mapya.

Picha
a woman being baptized

Wamisionari walikwenda nchi nyingi. Waliwafundisha wengine kuhusu Yesu Kristo. Watu zaidi walibatizwa. Kanisa lilikua.

Picha
angel Moroni statue in front of map of world

Leo, waumini wa Kanisa wanaishi ulimwenguni kote. Kuna mahekalu katika nchi nyingi.

Picha
two children standing below clothesline

Bila kujali tunakoishi, Yesu anatupenda. Ninajua Yeye anipenda!

Vielelezo na Apryl Stott

Chapisha