2021
Bahasha Mbili
Novemba/Desemba 2021


Bahasha Mbili

Picha
family celebrating Chinese New Year together
Picha
two cousins takling

Utatumia fedha yako kwenye kitu gani katika Mwaka Mpya wa Kichina?

Picha
cousins talking to grandpa

Ninakwenda kununua kamba mpya ya kuruka.

Picha
Various illustrations of Chung and his family.

Ninakwenda kununua pipi.

Picha
Various illustrations of Chung and his family.

Ninakwenda kununua begi jipya.

Picha
Various illustrations of Chung and his family.

Ninakwenda kujiwekea akiba.

Picha
boy thinking

Nifanye nini na fedha yangu?

Picha
family handing out red envelopes
Picha
boy holding envelope and thinking

Ninajua nini cha kufanya na baadhi ya fedha zangu!

Picha
boy filling out tithing slip

Jumapili ijayo …

Picha
boy licking tithing envelope to close it
Picha
boy handing tithing slip to bishop

Asante kwa mchango wako, Chung.

Asante kwa kushukuru!

Picha
boy looking happy

Ninahisi vizuri kulipa zaka yangu kwanza. Ninajua hilo linamfanya Baba wa Mbinguni afurahi.

Picha
Friend, November 2021 Tier 2

Vielelezo na Megan Higgins

Chapisha