2021
Hekalu la Nauvoo
Novemba/Desemba 2021


Hadithi za Maandiko

Hekalu la Nauvoo

Picha
pioneer family in Nauvoo

Watakatifu walijenga jiji jipya lililoitwa Nauvoo. Mungu aliwaambia kujenga hekalu pale.

Picha
a pioneer man carving a large stone

Watakatifu walifanya kazi kwa bidii ili kulijenga. Walilijenga karibu na mto mkubwa. Walichonga jua na nyota kwenye jiwe.

Picha
a man filling the baptism font with water

Bwana alisema wajenge kisima cha ubatizo ndani ya hekalu. Kilijazwa maji.

Picha
pioneer family in front of a gravestone

Watu walibatizwa kwa ajili ya wanafamilia ambao walikufa kabla hajaweza kubatizwa.

Picha
a family stonding together in front of the temple

Kwa sababu ya mahekalu, ninaweza kuwa na familia yangu milele. Siku moja nitaweza kwenda ndani yake kufanya ubatizo.

Vielelezo na Apryl Stott

Chapisha