2021
Kadi za Historia ya Kanisa
Novemba/Desemba 2021


Kadi za Historia ya Kanisa

Kata na ziondoe kadi, zikunje kwa kufuata mistari ya nukta, na zifunge kwa kuzigundisha kwa tepu.

Sagwitch Timbimboo

Picha
cut-out card of Sagwitch Timbimboo

1822–1887

“Ninataka kuwa na amani na watu wote.”

  • Alikuwa mtemi wa Shoshone katika kile ambapo sasa ni Utah kaskazini, Marekani.

  • Yeye na wengi wa watu wake walibatizwa mwaka wa 1873.

  • Yeye na mke wake walikuwa baadhi ya Wahindi wa Kiamerika wa kwanza kuunganishwa hekaluni.

  • Yeye na watu wake walisaidia kujenga Hekalu la Logan Utah. Baadaye walifanya kazi ya hekaluni kwa ajili ya watu wao waliofariki.

Anna Gaarden Widtsoe

Picha
cut-out card of Anna Gaarden Widtsoe

1849–1919

Naichukulia kuwa jambo la heshima kubwa … kusaidia katika [uenezaji] wa injili.”

  • Aliishi Norway. Alikuwa mjane, na aliwalea wana wawili.

  • Alijifunza injili kutoka kwa fundi viatu. Alipokuwa anashona viatu vyake, aliweka kipeperushi cha Kanisa katika kila kiatu. Alibatizwa baharini.

  • Alihudumu misheni huko Skandinavia. Mwanae John alikuja kuwa Mtume.

Picha
Friend, November 2021 Tier 2

Vielelezo na Brooke Smart

Chapisha