Kitu cha kufurahisha
Yesu Atakuja Tena
Picha
color-by-number picture of Jesus at the Second Coming
Siku moja Yesu atakuja tena na kuleta amani ulimwenguni. Soma kila andiko kuhusu kile Ujio Wake wa Pili utakavyokuwa. Kisha paka rangi sehemu ya picha.
-
Anga: Mosia 27:31
-
Nywele: Mafundisho na Maagano 88:107
-
Mavazi: Mafundisho na Maagano 133:48
-
Ngozi: Mafundisho na Maagano 45:71
-
Tarumbeta: Mafundisho na Maagano 45:45
Kielelezo na Bryan Beach