2022
Marafiki kwa Barua
Januari/Februari 2022


Rafiki kwa Barua

Wapi Nitasoma gazeti la Rafiki

Picha
girl holding Friend magazine in Russian

Sophia D.,umri miaka 8, anasoma gazeti la Rafiki la Kirusi huko Bratislava, Slovakia.

Tunapenda Kuliona Hekalu

Picha
two girls watching temple being built

Gemma na Cora H., umri miaka 4 na 10, walitembelea eneo la ujenzi wa Hekalu la Pocatello Idaho. Walifuatilia kuona mabadiliko yake kila wakati hadi hekalu lilipomalizika kujengwa!

Burudani na gazeti la Rafiki

Picha
boy holding coloring page from Friend

Ninalipenda gazeti la Rafiki! Ninapenda kujifunza kuhusu injili katika nchi zingine pamoja na Margo na Paolo na kupaka rangi.

Willian L., umri wa miaka 10, Minas Gerais, Brazil

Chapisha