2022
Kadi za Shujaa wa Maandiko.
Januari/Februari 2022


Kadi za Shujaa wa Maandiko.

Kata na ziondoe kadi, zikunje kwa kufuata mistari ya nukta, na zifunge kwa kuzigundisha kwa tepu.

Adamu

Picha
Adam in the Garden of Eden

“Mtu wa kwanza kwa watu wote”

  • Alikuwa mwanadamu wa kwanza duniani. Mungu aliumba mwili wake.

  • Aliishi katika Bustani ya Edeni. Aliwapa majina wanyama na ndege.

  • Alikuwa nabii. Yeye na Hawa waliwafundisha watoto wao injili.

Hawa

Picha
Eve in the Garden of Eden

“Mama wa wote wenye uhai”

  • Alikuwa mwanamke wa kwanza Duniani. Mungu aliumba mwili wake.

  • Alifuata mpango wa Mungu na kuondoka Bustani ya Edeni pamoja na Adamu.

  • Alisali na kufanya kazi kwa bidii ili kuitunza familia yao.

Picha
cut-out cards

Vielelezo na Alona Millgram

Chapisha