2022
Ninaweza Kusoma Agano la Kale
Januari/Februari 2022


Ninaweza Kusoma Agano la Kale

Picha
color-by-number page showing Adam and Eve, Moses, Esther, and Daniel

Mwaka huu unaweza kujifunza hadithi kuhusu watu waliomfuata Yesu Kristo maelfu ya miaka iliyopita. Soma mistari hiyo kwenye ukurasa wa 18 kwa ajili ya kila wiki. Kisha upake rangi kwenye maeneo yanayooana. Unaweza kutumia rangi tofauti kwa nambari hiyo hiyo.

Chati ya Kusoma Agano la Kale

Mistari hii huenda sambamba na masomo ya Njoo, Unifuate kwa ajili ya kila wiki katika mwaka 2022.

  1. Musa 1:39; Ibrahimu 3:22–25

  2. Musa 2:1, 26–28; 3:2–3

  3. Musa 4:6–12, 28–29

  4. Musa 6:4–7, 23

  5. Musa 7:10–13, 18–21

  6. Mwanzo 6:17–22; 7:15–17; 8:13, 21

  7. Mwanzo 17:1–7

  8. Mwanzo 18:10–14; 21:2–3

  9. Mwanzo 24:12–20

  10. Mwanzo 28:12–15

  11. Mwanzo 37:3–5, 18, 26–28

  12. Mwanzo 45:4–7

  13. Kutoka 3:2–14

  14. Kutoka 12:24–27

  15. Kutoka 14:9–16, 21–23, 27–28

  16. Isaya 53:4–6

  17. Kutoka 20:3–17

  18. Kutoka 31:13, 16–17

  19. Kutoka 39:32, 35–38; 40:34

  20. Hesabu 21:4–9

  21. Kumbukumbu la Torati 6:5–7, 17–18

  22. Yoshua 1:9, 16–17

  23. Waamuzi 7:15–21

  24. 1 Samweli 1:9–11, 17–20, 26–28

  25. 1 Samweli 16:1, 6–13

  26. 1 Wafalme 3:6–14

  27. 1 Wafalme 18:30–39

  28. 2 Wafalme 5:1, 9–15

  29. 2 Wafalme 22:8–10; 23:2–3

  30. Ezra 3:10–13

  31. Esta 3:13; 4:10–16; 8:3–5, 8, 17

  32. Ayubu 13:3, 15–16; 19:25

  33. Zaburi 23.

  34. Zaburi 51:10–11; 77:11; 86:5–7

  35. Zaburi 146:1, 5–9

  36. Mithali 3:5–6; 15:1, 18

  37. Isaya 1:2, 16–19

  38. Isaya 25:8–9; 29:14, 19

  39. Isaya 43:9–12

  40. Isaya 51:6; 52:1–2, 9

  41. Isaya 60:1–3; 61:1–3

  42. Yeremia 1:4–8

  43. Yeremia 31:3, 31–33

  44. Ezekieli 36:25–28

  45. Danieli 6:7, 9–11, 16, 19–22

  46. Hosea 13:4, 14; Yoeli 2:28–29

  47. Amosi 3:7; 5:14–15

  48. Yona 1:1–5, 10–17; 2:1, 10; 3:1–3

  49. Habakuki 2:2–4, 14

  50. Zakaria 9:9–11; 13:6–7

  51. Malaki 3:1, 10–12; 4:5–6

  52. Isaya 7:14; 9:6; 12:2

Vielelezo na Chris Danger

Chapisha