2022
Ninawezaje Kuwa Mwanzilishi?
Januari/Februari 2022


Majibu kutoka kwa Mtume

Ninawezaje Kuwa Mwanzilishi?

Imechukuliwa kutoka “Ukweli juu ya Mungu Utasonga Mbele,” Liahona, Nov. 2008, 81–84.

Picha
pioneer boy

Sote tunaweza kuwa waanzilishi.

Picha
pioneers pushing a handcart

Ili kuwa waanzilishi, ni lazima tuamini, tufanye kazi, tuhudumu na tushinde nyakati zetu ngumu kama wale waanzilishi wa mwanzoni walivyofanya.

Picha
pioneers driving a wagon

Waanzilishi waliacha nyuma nyumba zao na kutembea mwendo wa maili nyingi.

Picha
modern children helping hang up laundry

Changamoto zetu ni tofauti leo. Lakini tunaweza kuwa waanzilishi tunapokuwa na imani katika Yesu Kristo, tunapowasaidia wengine, kwenda hekaluni, na kumfuata Mwokozi.

Chapisha