2022
Halo kutoka Japani!
Januari/Februari 2022


Halo kutoka Japani!

Ungana na Margo na Paolo wanaposafiri kuzunguka ulimwengu ili kujifunza kuhusu watoto wa Mungu.

Japani ni nchi ya visiwa katika Asia Mashariki. Ina zaidi ya watu milioni 126.

Yum!

chopsticks holding sushi roll

Chakula maarufu cha Wajapani ni sushi. Inatengenezwa kwa mchele, mwani, samaki, na vitu vingine.

Unaishi pamoja na nani?

girl sitting with grandparents

Watoto wengi wa Kijapani wanaishi na wazazi wao wote wawili na pia bibi na babu zao.

Siku ya Watoto

fish-shaped flags

Mei 5 ni sikukuu maalumu inayoitwa Siku ya Watoto. Watu wananing’iniza koinobori (bendera yenye umbile la samaki) ili kuwaheshimu watoto na kuwatakia siku za badaaye nzuri.

Je, wewe unawakumbukaje mababu zako?

boy cleaning gravestone

Mvulana huyu anasafisha kaburi la mwanafamilia ili kuonyesha heshima.

Mahekalu 3 huko Japani

boy standing in front of temple

Japani ina waumini wa Kanisa wapatao 130,000. Mvulana huyu alitembelea Hekalu la Sapporo.

Page from the January/February 2022 Friend Magazine.

Vielelezo na Katie McDee