2022
Wapendwa Wazazi
Mei/Juni 2022


Wapendwa Wazazi,

Picha
letter to parents and permission form

Tunatumai ninyi na familia zenu mliweza kufurahia mkutano mkuu mwezi uliopita. Mnaweza kukagua ujumbe wa nabii pamoja na watoto wenu kwenye kurasa za 2–3. Unaweza pia kuomba kuhusu ni jumbe gani ambazo ni muhimu zaidi kwa familia yako hivi sasa. Je, unawezaje kufuata sauti ya Bwana leo?

Kwa upendo,

Rafiki

Chapisha