2022
Yesu Alishiriki Ukweli
Mei/Juni 2022


Kusaidia Kama Yesu

Yesu Alishiriki Ukweli

Picha
Jesus teaching others

Siku moja Yesu alitembelea mji ambao Yeye alikulia. Yesu aliongea na watu huko. Yeye aliwaambia kwamba Yeye alikuwa Mwokozi.

Watu hawakumwamini Yeye. Walikuwa na hasira. Lakini Yesu alijua kile Alichosema ni cha kweli. Hakuwa anaogopa. Yeye daima alishiriki ukweli huu.

Picha
A photo of Ava Hatch

Mwaka huu nilijiwekea lengo la kutuma ujumbe wa kiroho na wimbo kwa marafiki na binamu zangu. Imenifanya mimi na wao kuhisi vizuri zaidi.

Ava H., miaka 9, Utah, Marekani

Picha
Page from the May/June 2022 Friend Magazine.

Kielelezo na Dan Burr

Chapisha