2022
Kadi za Shujaa wa Maandiko
Mei/Juni 2022


Kadi za Shujaa wa Maandiko

Kata kadi, zikunje kwa kufuata mistari ya nukta, na zifunge kwa kuzigundisha kwa tepu.

Miriamu

Picha
cut-out card of Miriam

“[Yeye] akawajibu, Mwimbieni Bwana.”

  • Alikuwa dada mkubwa wa Musa. Alisaidia kumuweka kijana Musa salama.

  • Alimsikiliza Roho na kufanya kile ambacho Mungu alimwomba afanye.

  • Alimwabudu Mungu kwa kuimba.

Musa

Picha
Moses holding stone tablets

“[Yeye] alikuwa mwaminifu katika nyumba yao yote.”

  • Mama yake alimficha alipokuwa mtoto ili kuokoa maisha yake. Alillelewa na binti wa Farao.

  • Alikuja kuwa nabii. Aliwaongoza watu wa Mungu kutoka Misri.

  • Baadae alikuja kwa Joseph Smith kurejesha funguo za ukuhani.

Picha
cut-out cards

Vielelezo na Alona Millgram

Chapisha