2022
Tafuta!
Mei/Juni 2022


Kitu cha kufurahisha

Tafuta!

Picha
two children standing in front of old hospital

Hospitali ya Watoto wa Msingi katika Jiji la Salt Lake, Utah, Marekani, ilifunguliwa miaka 100 iliyopita mwezi huu. Watoto wa msingi walikusanya sarafu za kuwasaidia watoto wagonjwa waliokaa hapo. Je, unaweza kupata vitu vilivyofichwa hapo chini? Unaweza kupata sarafu ngapi?

Vielelezo na Maarten Lenoir

Chapisha