2022
Nataka Kuishi Injili
Mei/Juni 2022


Ninaweza Kuucheza

Nataka Kuishi Injili

Kwa kutafakari [robo noti] = 84–108

Picha
sheet music

1. Nataka kuishi injili,

Ili kujua kwamba mafundisho yake ni kweli,

Kufuata mpango wa Mwokozi wangu

Na kuishi kama Yeye atakavyo nifanye.

2. Nataka kuishi injili,

Kujua nasikika ninapoomba,

Kujua kwamba nitakuwa na furaha

Kwa sababu nimejifunza kutii.

Kiitikio: Nitajaribu katika yote nifanyayo na kusema

Kuishi injili zaidi kila siku.

Nitajaribu katika yote nifanyayo na kusema

Kuishi injili zaidi kila siku.

Chapisha