2022
Ujasiri wa Yoshua
Mei/Juni 2022


Hadithi za Maandiko

Ujasiri wa Yoshua

Picha
Joshua kneeling and looking up at a ray of light

Baada ya Musa kufa, Bwana alimchagua Yoshua kuwa nabii. Mungu alimwambia Yoshua awe hodari na moyo wa ushujaa.

Picha
men in white carrying chest across riverbed

Yoshua aliwaongoza watu kwenda nchi ya ahadi. Walipovuka Mto Yordani, Mungu alisimamisha maji ili waweze kuvuka.

Picha
Joshua teaching

Yoshua aliwafundisha watu kuhusu chaguzi. Alisema wangeweza kuchagua kumfuata Mungu au kutomfuata.

Picha
many people sitting and watching Joshua teach

Yoshua alichagua kumfuata Mungu. Wengi wa watu walifanya hivyo pia.

Picha
Primary children walking behind Primary teacher

Ninaweza kuwa na ujasiri kama Yoshua. Ninaweza kuchagua kumfuata Mungu.

Picha
coloring page of girl helping dad fold laundry

Vielelezo na Apryl Stott

Chapisha