2022
Kumfuata Yesu kwa Pamoja
Mei/Juni 2022


Kumfuata Yesu kwa Pamoja

Picha
Collin Clawson

Familia yangu na mimi tulifunga na kuomba pamoja mara kadhaa kwa ajili ya binamu yangu aliyekuwa mgonjwa. Niliomba sala zangu mwenyewe kwa ajili yake pia. Ninajua Baba wa Mbinguni alisikia maombi yetu.

Collin C., miaka 9, Utah, Marekani

Picha
Collin Clawson

Ninajua kwamba Kitabu cha Mormoni ni cha kweli kwa sababu Roho Mtakatifu alizungumza nami. Nilifurahi kumwambia mama yangu. Alinikumbatia kwa nguvu, na nilifurahi sana.

Matias M., miaka 10, Cundinamarca, Kolombia

Picha
A photo of a young girl named Robin

Familia yangu hunisaidia kufikia malengo yangu. Naipenda familia yangu!

Robin A., miaka 6, Carolina ya Kaskazini, Marekani

Picha
William Pehrson

Nilimwona mvulana shuleni ambaye alikuwa peke yake. Nilimwalika awe rafiki nami, na sasa sisi ni marafiki!

William P., miaka 7, Durham, Uingereza

Picha
A photo of Emi Lew

Nilitengeneza dubu waliosukwa na kuwapa kama shukrani kwa wauguzi waliowatibu wagonjwa wa COVID-19. Ninashukuru kutumikia jamii yangu.

Emi L., miaka 11, New Mexico, Marekani

Picha
James Speers

Wakati wa janga nilizingatia kile ningeweza kufanya badala ya kile ambacho sikuweza kufanya. Ilinisaidia kuwa karibu na familia yangu na Yesu.

James S., miaka 9, Michigan, Marekani

Picha
Yoleannys Castillo

Familia yangu iliunganishwa hekaluni nilipokuwa na miaka sita. Inanifurahisha kujua familia yangu ni ya milele.

Yoleannys C., miaka 7, California, Marekani

Picha
colorful drawing of houses and trees

Rafaela S., miaka 9, Paraná, Brazil

Picha
brother and sister holding a block temple

Bradley na Evelyn S., miaka 8 na 9, Queensland, Australia

Picha
drawing of a temple

Elias M., miaka 6, California, Marekani

Picha
drawing of Jesus being baptized

Lucy E., miaka 8, California, Marekani

Picha
a drawing by Avery Shanks depicting events in Alma 29:22

Avery S., miaka 10, Alberta, Kanada

Chapisha