2021
Edward Partridge
Julai 2021


“Edward Partridge,” Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana, Julai 2021, 33.

Watu kutoka Historia ya Kanisa

Edward Partridge

Picha
Edward Partridge
  • 1793–1840

  • Askofu wa kwanza katika Kanisa

  • Alipakwa lami na kubandikwa manyoya na wapinzani wa Kanisa

Baada ya kuitwa kama askofu, Edward alimwomba mke wake, Lydia, kuomba kwa ajili yake ili aweze kutimiza wito wake katika njia ambayo ingempendeza Bwana. Baada ya kifo cha Edward, Bwana alimwambia Joseph Smith kwamba Yeye alikuwa amempokea Edward “kwake” kwa sababu ya bidii yake (Mafundisho na Maagano 124:19).

Chapisha