Julai 2021 UnganishaWasifu na ushuhuda mfupi wa kijana. Na Mzee D. Todd ChristoffersonMpango wa Kiungu wa Kuwa ZaidiMzee Christofferson anatufundisha namna gani kuelewa mpango wa wokovu inatusaidia sisi kuona namna Mungu anavyotusaidia sisi kuwa zaidi kama Yeye alivyo. Na David A. EdwardsKwa Nini Unapaswa KufurahiaBwana anapotuamuru tufurahi, Yeye kwa kawaida anatupatia sababu. BangoJipeni MoyoTangazo la kuvutia kuhusu mwaliko wa Yesu Kristo wa kujipa moyo. Na Hank SmithRangi 7 kwa Maisha ya Furaha ZaidiHaya ni mambo 7 rahisi unayoweza kufanya kila siku ili kukusaidia kuwa mwenye furaha zaidi. Na David DicksonShangwe ya KoseiKijana mdogo kutoka Japani anapata shangwe ya kushiriki injili kwa njia ya mitandao ya kijamii na urafiki. Na Paul B. Murphy na ??OnoHadithi yenye kielelezo kuhusu jinsi Joseph Smith na Sidney Rigdon walivyopokea ono ambalo lilikuja kuwa Mafundisho na Maagano 76. Na Urais Mkuu wa WavulanaAndikaUrais Mkuu wa Wavulana unawatia moyo vijana ambao wana matatizo ya kujifunza maandiko kujaribu kuandika wakati wakijifunza. Jinsi TunavyoabuduHuko San Diego, MarekaniKijana mdogo kutoka San Diego, California, Marekani anaelezea jinsi wanavyoabudu huko. Jina LimefichwaJe, Nilikuwa Mwenye Kustahili?Msichana anaelezea kuhusu unyanyasaji alioteseka wakati anakua na anasimulia jinsi alivyotafuta msaada na kuzishinda hisia za kutokustahili. Na Eric B. MurdockUtaweza!Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo wamefanya—na wanafanya—mengi sana ili kuhakikisha kwamba tunakuwa na kila nafasi ya kufika kwenye ufalme wa selestia na kuwa kama wao walivyo. Misingi ImaraMsichana anapotelewa na miwani yake ya kuogelea ufukweni mwa bahari na anaomba ili aipate. Kaka yake anashuku. Sehemu ya BurudaniVichekesho, michezo, na shughuli kwa ajili ya vijana. Maswali na Majibu Maswali na MajibuJe, ninawezaje kuacha kutilia shaka ustahili wangu binafsi?Majibu kwa swali hili: Je, ninawezaje kuacha kutilia shaka ustahiki wangu binafsi? Kwenye HojaUfalme wa selestia unafananaje?Jibu la swali hili: Ufalme wa Selestia unafananaje? Neno la MwishoNa Mzee Ronald A. RasbandKutimiza Ahadi ZetuMzee Rasband anafundisha kwamba kama tutatimiza ahadi zetu kwa Bwana na kwa wengine, Bwana ataheshimu matendo yetu na kutubariki. Watu kutoka katika Historia ya KanisaEdward PartridgeBango lenye kielelezo na maelezo mafupi kuhusu Edward Partridge