Januari 2022 UnganikaWasifu na hadithi fupi ya kijana kutoka Tonga. Mzee Gary E. StevensonMpango wa Mungu wa Furaha na Hatima Yako ya KiunguKuelewa na kuishi kulingana na mpango wa furaha kunakuruhusu wewe kufikia hatima yako ya kiungu. Jolie HatchUshawishi wa RafikiBaada ya kuhamia sehemu mpya, msichana anapata rafiki mpya, ambaye anamsaidia kupata kuwa sehemu ya, na vile vile kupata imani mpya. Dhima na MimiJihan JohnsonNaijua Thamani YanguMsichana anayekabiliana na ukosoaji anakumbuka kile mama yake alichomwambia kuhusu thamani yake kwa Baba wa Mbinguni. Dhima na MimiChris DeaverBaba wa Mbinguni AnanijuaMvulana anaangalia angani, anga lililojaa nyota pamoja na baba yake na anashangaa kuhusu udogo wake yeye mwenyewe. Njoo, UnifuateEric B. MurdockKushinda Mbinu za ShetaniShetani anafanya kila kitu anachoweza ili kutudanganya sisi. Kwa shukrani tunao msaada wa kiungu wa kutuepusha na mitego yake. Njoo, UnifuateMatthew C. Godfrey“Ni Vyangu Nami Navijua”Kama umewahi kuhisi wewe si chochote, basi Musa anao ujumbe kwa ajili yako. Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2022 Urais Mkuu wa Wasichana na WavulanaMtumaini BwanaUrais Mkuu wa Wasichana na Wavulana wanaelezea mifano ya jinsi wao walivyokuja kumtumaini Bwana. Nik DayMtumaini Bwana: Wimbo wa Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2022Karatasi ya noti za muziki kwa ajili ya wimbo wa dhima ya vijana kwa mwaka 2022. BangoMtumaini Bwana: Bango la Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2022Bango la Dhima ya Vijana kwa mwaka 2022: Mtumaini Bwana. Njoo, UnifuateMarissa WiddisonKumtafuta Yesu Kristo katika Agano la KaleHapa kuna njia tatu ambazo Agano la Kale hutufundisha kuhusu Yesu Kristo. David Dickson, David A. Edwards, na Adam KofordJione Mwenyewe kwa Uwazi zaidiHadithi yenye kielelezo kikionyesha jinsi gani vijana wanavyoweza kukataa jumbe za ulimwengu kuhusu wao ni nani, wakaukumbatia ukweli, na kujiona wenyewe kwa uwazi zaidi. David A. EdwardsMhandisi wa ShangwePatrick L. kutoka Ujerumani anapenda sayansi na uhandisi, pamoja na uzuri na mawazo Pia, anapenda injili ya Yesu Kristo. Na anapenda kushiriki kile anachopenda. Sehemu ya BurudaniMichezo, vichekesho, na shughuli kwa ajili ya vijana. Maswali na Majibu Maswali na MajibuNinawezaje kuhisi kuunganika zaidi na kikundi changu cha vijana?Majibu ya swali:Sina mambo mengi yanayofanana na watu wa kikundi changu cha vijana. Ninawezaje kuhisi kuunganika nao zaidi? Kwenye HojaJe, dunia iliumbwaje?Jibu la swali: Je, dunia iliumbwaje? Neno la MwishoRais Dallin H. OaksMwongozo wetu kwenye UkweliRais Oaks anatufundisha jinsi tunavyoweza kuepuka udanganyifu wa Shetani.