Liahona
Mpendwa Msomaji wa Liahona
Mei 2024


Mpendwa Msomaji wa Liahona

Tunayo furaha kushiriki pamoja nawe baadhi ya dondoo kutoka kwenye mkutano mkuu. Tunatumaini kwamba toleo hili litakubariki katika kujifunza kwako binafsi na kama familia. Unaweza kuyafikia mahubiri kamili kidijitali kupitia aplikesheni ya Maktaba ya Injili au kwa kutembelea gc.ChurchofJesusChrist.org.

Chapisha