2021
Sanamu ya Yesu
Mei/Juni 2021


Sanamu ya Yesu

Mwandishi anaishi California, Marekani.

Hadithi hii ilitokea huko Brazili.

Picha
May 2021 Friend

Mamãe, tunaweza kwenda kuona sanamu ya Yesu pale kituo cha wageni leo?

Nami nataka kwenda pia!

Tusubiri basi mpaka mvua ikatike.

Masaa baadaye . . .

Je, hatuwezi kuloana kidogo kutokana na mvua? Sisi hatujali!

SAWA! Acha tuchukue makoti yetu ya mvua.

Mimi nataka kuvaa nguo zangu za Jumapili.

Hilo ni wazo zuri!

Acha tuharakishe!

Tumekaribia kufika!

Bem vinda (Karibuni)!

Je, tunaweza kuiona sanamu ya Yesu?

Bila shaka! Nifuateni mimi.

Tazama, Mamãe!

Yesu ni Mwokozi wetu. Fikiria itakuwaje wakati tutakapomwona Yeye siku moja!

Siwezi kusubiri!

Chapisha