2021
Je, Vipawa Vyako ni Vipi?
Mei/Juni 2021


Vitu vya kuburudisha

Je, Vipawa Vyako ni Vipi?

Picha
May 2021 Friend

Vipawa vya kiroho ni baraka au uwezo ambao Mungu ametoa kwa kila mmoja wa watoto Wake (ona Mafundisho na Maagano 46:11–26). Tunaweza kutumia vipawa na vipaji vyetu ili kuwabariki wengine!

Zungushia vitu ambavyo wewe unaviweza vyema. Weka nyota kwenye vitu ambavyo unataka kuvifanyia mazoezi zaidi. Andika baadhi ya mawazo yako mwenyewe pia.

kuhudumu

kupenda

Imani

Kupika

Kuumba

Kufanya Kazi kwa Kushirikiana

Kuandika

Kuwatunza wanyama

Michezo

Kujifunza

Chapisha