2021
Tunakushukuru, Ewe Mungu, kwa Ajili ya Nabii
Mei/Juni 2021


Ninaweza Kupiga Muziki

Tunakushukuru, Ewe Mungu, kwa Ajili ya Nabii

Kwa kutafakari: [robo noti] = 76–93

Picha
sheet music

1. Tunakushukuru, Ewe Mungu, kwa Ajili ya Nabii

Kutuongoza siku za mwisho.

Asante kwa kutuma injili

Kuangaza akili zetu kwa nuru.

Asante kwa kila baraka

Ulizotupa kwa mkono wako wa tele.

Twapenda kukutumikia

Na kutii amri zako.

Chapisha