2021
Onyesha na Elezea
Mei/Juni 2021


Onyesha na Elezea

Picha
A young possibly bi-racial girl with a pink sweater is pictured in front of a rock wall..

Hadithi ya maandiko niipendayo ni kuhusu Nefi. Inanikumbusha kutii amri za Baba wa Mbinguni kwa sababu bila kujali tatizo ninaloweza kuwa nalo, najua Yeye daima atanisaidia. Pia inanifundisha kwamba ninapofanya kosa, ninaweza kusamehewa.

Noëlly S., umri miaka 8, Auvergne-Rhône-Alpes, Ufaransa

Picha
A composite image with 2 photos, one of President Russell Nelson sitting in a chair on the left, and a picture of a young boy sitting in a chair on the right.

Ninapenda kujifunza kutoka kwa manabii. Ninajua kwamba Rais Russell M. Nelson ni nabii aliyeteuliwa na Mungu.

Eduardo V., umri miaka 8, Managua, Nicaragua

Picha
drawing of girl praying

Wazazi wangu walitalikiana. Niliomba kwa ajili ya faraja na nikajazwa kwa mawazo mazuri.

Aika C., umri miaka 7, Idaho, Marekani

Picha
A portrait of a young boy with a white shirt and tie, standing and smiling

Ninajua wakati ninapomsikiliza Roho Mtakatifu, hiyo hunisaidia kuwa salama.

Wesley S., umri miaka 11, Virginia, Marekani

Picha
A child's drawing of a world with people circled around it holding hands.

Virusi vya Corona vilinifanya niwe na huzuni. Nilichora picha ya kila mtu ulimwenguni kote akifunga na kuomba, na ilinifanya niwe na furaha.

Scotty J., umri miaka 7, South Carolina, Marekani

Picha
girl in white dress

Baada ya kubatizwa na baba yangu, nilijisikia kama mtu mpya kabisa.

Haylee T., umri miaka 8, Queensland, Australia

Picha
A portrait of a young boy with a white shirt and tie. He appears to be of Asian descent.

Ninamfuata Yesu Kristo kwa kusaidia familia yangu.

Seth A., umri miaka 10, Rizal, Ufilipino

Picha
drawing of Jesus

“Yesu anampenda kila mtu,” Jewel J., umri miaka 8, Tennessee, Marekani

Picha
boy holding drawing of Salt Lake Temple

Noah O., umri miaka 11, Colorado, Marekani

Picha
brothers holding art

Joseph, Elijah, Noah, na Daniel T., umri miaka 9, 5, 3, na 7, Cheshire, Uingereza

Picha
drawing of First Vision

Dalma E., umri miaka 6, Santa Fe, Argentina

Picha
drawing of sister missionary

“Natumaini wataniita kwenda kufanya kazi ya umisionari,” Samantha F., umri miaka 10, New South Wales, Australia

Chapisha