2021
Matukio Yasiyo ya Kawaida huko Ufilipino na Margo na Paolo
Mei/Juni 2021


Timu ya Mikono ya Usaidizi

Matukio Yasiyo ya Kawaida huko Ufilipino na Margo na Paolo

Picha
Paolo holding flag

Kuna visiwa 7,000 katika Ufilipino, hivyo kuna mengi ya kuona.

Picha
colorful bus in city

Kitu kizuri tunaweza kusafiri kuzunguka kwa kutumia jipunii!

Picha
Paulo looking through binoculars at volcano

Angalia volkano ile. Inafuka moshi!

Picha
Margo in front of green field

Na tazama yale majaluba ya mpunga. Ni makubwa!

Picha
Margo and Paolo standing in front of colorful bus

Asante kwa kuja pamoja nasi.

Tutaonana wakati mwingine!

Chapisha