2021
Kadi za Historia ya Kanisa
Mei/Juni 2021


Kadi za Historia ya Kanisa

Kata kadi hizi, zikunje kwa kufuata mistari ya nukta, kisha zifunge kwa kuzigundisha.

Picha
A full illustration of a woman in a black dress with a white collar. she appears to be near a beach with palm trees.

Louisa Barnes Pratt

1802–1880

“Niliazimia kumtegemea Bwana na kusimama kwa ujasiri.”

  • Alifanya kazi kama fundi mshonaji nguo ili kuisaidia familia yake, wakati mume wake, Addison, alipokuwa misheni.

  • Aliwabeba watoto wake kwenda Bonde la Salt Lake katika mkokoteni uliofunikwa.

  • Alihudumu misheni pamoja na mume wake huko French Polynesia.

  • Akiwa katika misheni yake, alijifunza lugha ya Kitahiti na akafundisha injili.

Nabota na Telii

Picha
a man and woman from an island dressed in white. Both have a lai or beaded crown on their heads.

“Ni karamu ya kiroho … kusikia [Nabota na Telii] wakiomba.”

  • Walikuwa waumini wa kwanza wa Kanisa kutoka visiwa vya Tuabai katika French Polynesia.

  • Walijifunza injili kutoka kwa Mzee Addison Pratt.

  • Walimpa mahali pa kukaa, walimfundisha kuongea Kitahiti, na walisafiri pamoja naye.

  • Waliwafundisha wengine kisiwani humo kuhusu Kanisa na wakawasaidia kuishi injili.

Picha
cut-out cards

Chapisha