2021
Wazazi Wapendwa
Mei/Juni 2021


Wazazi Wapendwa,

Picha
letter to parents

Tunaishi katika ulimwengu mzuri wenye aina zote za watu. Wafundisheni watoto wenu kwamba kila mtu ni mtoto maalumu wa Mungu na mwenye kupendwa. Hapa ni baadhi ya mambo unayoweza kuyatafuta katika toleo hili:

  • Makala kuhusu mvulana ambaye anawajumuisha wengine na changamoto ya kuwa rafiki (ukurasa wa 6–8)

  • Ukurasa wa kumbusho kuhusu thamani ya mtoto wako kama mtoto wa Mungu (ukurasa wa 16–17)

  • Hadithi kuhusu mwanamke wa Afrika Kusini aliyeongoza kwa upendo katika jumuiya yake (ukurasa wa 24–25)

Kumbuka, kufundisha upendo na heshima huanza na wewe!

Gazeti la Rafiki

Chapisha