2021
Matukio Yasiyo ya Kawaida huko Poland pamoja na Margo na Paolo
Septemba 2021


Timu ya Mikono Saidizi

Matukio Yasiyo ya Kawaida huko Poland pamoja na Margo na Paolo

Picha
Margo standing in front of beautiful buildings

Karibuni Poland!

Picha
Margo and Paolo at a river

Poland ina mlima na misitu mizuri sana.

Ee, kuna ndege wengi hapa!

Picha
Paolo standing in front of church building

Poland ina zaidi ya waumini 2,000 wa Kanisa. Hapa ni mojawapo ya majengo yao ya Kanisa!

Picha
Margo and Paolo at a cemetery with flowers

Watu wanayapamba makaburi ya mababu zao katika sikukuu inayoitwa Siku ya All Saints.

Huwasaidia kuwakumbuka wapendwa wao!

Vielelezo na Katie McDee

Chapisha