2021
Amani katika Kristo
Septemba 2021


Ninaweza Kupiga Muziki!

Amani katika Kristo

Kwa kutafakari [robo noti] =

Picha
sheet music

1. Kuna amani katika Kristo

Tujifunzapo kuhusu Yeye.

Sikia Upendo Alionao kwetu.

Alipobeba dhambi zetu.

Sikiliza maneno Yake.

Wayaache yawe hai.

Kama Twamjua kama Alivyo

Kuna amani katika Kristo.

2. Kuna amani katika Kristo

Tutembeapo pamoja Naye

Mitaani Galilaya

Hadi Yerusalemu.

Kuponya mioyo iliyovunjwa.

Futa machozi machoni.

Tunapoishi Yeye Alivyoishi

Kuna amani katika Kristo.

Kiitikio: Yeye Hutupa matumaini

Tumaini linapopotea

Yeye hutupa nguvu

Tuzidiwapo.

Yeye hutupa Hifadhi

Penye dhoruba maishani.

Amani itowekapo duniani.

Kuna amani katika Kristo.

Mwisho wa Pili: Amani itowekapo duniani,

Kuna amani katika Kristo.

Chapisha