2021
Daftari la Mkutano Mkuu
Septemba 2021


Daftari la Mkutano Mkuu

Picha
activities for general conference

Mkutano mkuu u karibu! Tunapata kumsikiliza nabii wa Mungu. Fanya shughuli hizi wakati unapomsikiliza nabii na wanenaji wengine.

Sikiliza kwa Moyo wako.

Unaposikia maneno Roho Mtakatifu au Roho, chora moyo katika nafasi hii. Unaposikia neno sikiliza, chora uso wa tabasamu.

Kupaka Rangi Mkutano Mkuu

Sikiliza maneno yaliyo hapo chini unapokuwa ukitazama mkutano. Paka rangi sehemu ya picha unaposikia kila neno.

  • Yesu Kristo

  • Manabii

  • Maandiko

Mara Nne Mfululizo

Unaposikia mtu akizungumza kuhusu mojawapo ya vitu hivi, weka alama (kama kitufe au kijiwe) kwenye mraba. Unaweza kujaza mstari wote?. Na je kisanduku chote?

Kitabu cha Mormoni

Biblia Takatifu

Vielelezo na Adam Koford

Chapisha