2021
Mzee Rasband Azuru Afrika Kusini
Septemba 2021


Mitume kote Ulimwenguni

Mzee Rasband Azuru Afrika Kusini

Mitume wanawatumikia watu kote ulimwenguni na kuwafundisha kuhusu Yesu Kristo.

Picha
Durban South Africa Temple

Mnamo Februari 2020, Mzee Ronald A. Rasband na mkewe, Melanie, walitembelea Afrika Kusini. Mzee Rasband aliweka wakfu hekalu la Durban.

Mzee Rasband aliliweka wakfu Hekalu la Durban Afrika Kusini.

Picha
Elder Rasband outside the temple

Yeye alisaidia kuweka jiwe la pembeni, kipande cha mwisho cha kukamilisha hekalu. Kipande hiki hutukumbusha jinsi Yesu Kristo alivyo jiwe la pembeni la Kanisa.

Picha
stained-glass window

Madirisha ya hekalu yanaonyesha maua ya kitaifa ya Afrika Kusini, protea.

Picha
two girls with colored braids

Wasichana hawa watatu walikuja kwenye mkutano pale Mzee Rasband alipoongea.

Picha
Elder and Sister Rasband shaking hands with children

Mzee na Dada Rasband waliwasalimia watoto katika ibada hiyo.

  • * Ronald A. Rasband, Twitter, Oct. 3, 2020, twitter.com/RonaldARasband.

Chapisha